Mwanzo

Karibu kwenye kanzidata ya katiba ya LHRC

Hii ni tovuti ya wazi inayohusiana na mambo ya kikatiba na mamlaka zote zinazohusiana kisheria. Kwa Tanzania, kanzidata hii ni sehemu maalum ambayo utapata kila kitu kuhusu historia ya katiba.


Kanzidata hii pia inajumuisha majarida mbalimbali, vitabu, video, sauti, picha n.k. ambavyo vinayohusiana na mchakato wa katiba.


Kwa machapisho na majarida mbalimbali ambayo hayapo katika mfumo wa kidijitali, unaweza kuja kusoma katika maktaba yetu iliyopo LHRC makao makuu kwa kujaza kwanza fomu maalum ya maombi iliyoambatanishwa na chapisho unalohitaji. Taarifa utakazojaza katika fomu hii, zitatusaidia kuandaa mahitaji muhimu kwa ajili yako.

      1. Constitution
        1. No Ammendment